Friday, April 9, 2010

Cd za X za Aisha Madinda zauzwa Dar kama njugu

Wakati kidonda cha skendo ya kusambaa kwa picha chafu za Mnenguaji ‘5 Stars’ wa African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Aisha Mbegu ‘Aisha Madinda’ hakijapona vizuri, jipya limeibuka, Ijumaa linakuhabarisha. Chanzo chetu cha kuaminika (jina linahifadhiwa), kilisema kuwa hivi karibuni limeibuka kundi la wachuuzi wa kazi mbalimbali za wasanii ambao wanauza CD za ngono zikimuonesha mkata nyonga huyo akifanya ‘mambo’.


JOPO LA MAWAKILI LAJIANDAA KUMTETEA


Mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi nchini,
Nguza Viking maarufu kama Babu Seya anatazamiwa kukata tena rufaa kortini ambapo jopo la Mawakili limejipanga kumtetea.